Timam X Gituamba - AVAILABLE (KYM)
Timam Evans Timam Evans
16K subscribers
14,586 views
0

 Published On Premiered Jan 5, 2024

#Timam #Available #TimamMusic #TimamSessions #StreetWorship #IbaadaKitaa #Kamagera
©2024 Administered by Timam Evans

AVAILABLE (KYM) LYRICS

VERSE 1
Ulisema tukiomba zaidi ya Mahitaji
Tukumbushe Baba mavuno ni mengi atume wafanyikazi
Nihesabu kaa mmoja, naja na uimbaji
Talanta ulinipa kazi we ikufanyie weh ndio mwenye kipaji...

Nifanye niwe KYM wako, Shughuli yako iwe yangu
If you looking for son whos hands on Usitafute mbali
Niko Available Lord you can use me.

CHORUS
Niko available Available ukiwa na Wira me niko area
Niko available Available ukiwa na Wira me niko area

VERSE 2
Majivuno kujigamba, yawe mbali nami.
Nitakapo nawiri na huduma ikijipa nisidhani ni mimi.
Mali isiwe ni lengo, Cha muhimu ni nafsi
Baba ukinisaka me Siingii kichaka utanipata kambi

Nifanye niwe KYM wako, Shughuli yako iwe yangu
If you looking for son whos hands on Usitafute mbali
Niko Available Lord you can use me.

CHORUS
Niko available Available ukiwa na Wira me niko area
Niko available Available ukiwa na Wira me niko area

show more

Share/Embed